Home » » Koka asaidia vikundi vya ujasiriamali

Koka asaidia vikundi vya ujasiriamali

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
MBUNGE wa Kibaha Mjini, Silvestry KokaMBUNGE wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka, ametumia zaidi ya sh milioni 150 kuwezesha vikundi vya ujasiriamali vilivyopo katika jimbo lake, ikiwa ni pamoja na vikundi vya wanawake na vijana.
Koka alibainisha hayo mjini Kongowe  juzi alipozungumza na wananchi katika Kata ya Kongowe.
Alisema kati ya fedha hizo, sh milioni 24 amesaidia kwa kuviwezesha  vikundi vya wanawake na sh  milioni 126 ametoa kwa ajili ya makundi mengine na vijana.
Chanzo;Tanzania Daima 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Pwani Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa