MIGOGORO ya ardhi ni miongoni mua vitu ambavyo vimekuwa vikirudisha sana maendeleo nyuma.
Mara
nyingi migogoro hiyo husababisha kusimama kwa shughuli mbalimbali
za amendes kama ujenzi na kubwa zaidi shughuli za kilimo kwa wananchi wa
maeneo husika hasa maeneo ya vijijini amber hutegemea arch kwa
kuzalisha chakula.
Chalinze ni moja ya Halmashauri za Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani ambazo zinakabiliwa na migogoro kadhaa ya ardhi.
Miongoni mwah
migogoro hiyo ni ule uliopo katika Kijiji cha Kwamduma Kata ya
Kibindu, amber ni baissa ya kijiji hicho na Hifadhi ya Uzigua.
Katika
kutafuta utatuzi wa migogoro hiyo, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete
alitembelea kijiji cha Kwamduma ili kuona namna ya kutatua agogo huh wa
muda mrefu vaina ya Kijiji na Hifadhi.
Ridhiwani
alisema lingo la tiara hiyo ni kuangalia athari za migogoro
ya arch Latina kijiji Nicholas na kuzitafutia ufumbuzi baina ya wananchi
na hifadhi".
"Nimefanya
Ziara katika kijiji cha Kwamduma, Kata ya Kibindu kuangalia Athari za
Migogoro Baina ya Kijiji na Hifadhi ya Uzigua, katika ziara hiyo tumeona hitaji la kukaa chini na watu wa hifadhi na kujadili suala la mipaka inayotembea,"alisema Ridhiwani.
Alisema kuwa wamekubaliana na Serikali kuingilia kati mgogoro huo na kuutafutia ufumbuzi wa haraka.
"nashukuru
Serikali imekubali kuushughulikia mgogoro huu kwa baraka ndani ya
kipindi kifupi, ili shughuli nyingine za maendeleo ziendelee,"alisema
Ridhiwani.
0 comments:
Post a Comment