Home » » MKURUGENZI MKUU TPA AFUNGUA SEMINA KWA MAAFISA RASILIMALI WATU

MKURUGENZI MKUU TPA AFUNGUA SEMINA KWA MAAFISA RASILIMALI WATU

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina hiyo mjini Bagamoyo. Kushoto ni Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bi. Fransisca Muindi na Mkurugenzi wa Utumishi, Bi. Ediltruda Maseko.
Maafisa Rasilimali Watu wa TPA wakiwa katika semina hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko amefungua semina ya siku tatu (3) kwa Maafisa Rasilimali Watu wa TPA ambao wanafanyakazi katika maeneo mbalimbali ya Bandari hapa nchini. 

Semina hiyo inayofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Wauguzi Bagamoyo inaenga kuwajengea uwezo Maafisa hao kuhusiana na masuala mazima ya Sheria ya Utumishi wa Umma ya mwaka 2002.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Pwani Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa