Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA),Bi. Irene Isaka (aliesimama) akiwasilisha mada kuhusiana na hali
halisi ya sekta ya hifadhi ya jamii nchini,changamoto na mafanikio
wakati wa semina ya siku moja iliyotolewa kwa Wahariri wa Nyombo mbali
mbali vya habari nchini kupitia Jukwaa la Wahariri,iliyofanyika Mwishoni
mwa wiki katika Hoteli ya Oceanic,Bagamoyo.
Mhariri Mkuu wa gazeti la Nipashe,Jesse Kwayu akiuliza swali mara baada ya uwasilishwaji mada.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA),Irene Isaka akijibu swali lililoulizwa na mmoja wa Wahariri
katika Semina hiyo,iliyofanyika Mwishoni mwa wiki katika Hoteli ya
Oceanic,Bagamoyo.kulia kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na
Uhamashishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya
Jamii (SSRA), Sarah Kibonde – Msika.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA),Irene Isaka akisisitiza jambo juu ya umuhimu wa vyombo vya habari
katika kutoa elimu ya hifadhi ya jamii kwa wananchi.kushoto kwake ni
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini,Absalom Kibanda na kushoto
kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamashishaji wa Mamlaka ya
Usimamizi na udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde
– Msika.
Baadhi
ya wahariri wakuu wa vyombo mbalimbali vya habari nchini wakisiliza
mada iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi
na udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Bi. Irene Isaka (hayupo
pichani).
Chanzo;Michuzi blog
Chanzo;Michuzi blog
0 comments:
Post a Comment