Mbunge wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete ameshiriki
kikao cha Baraza la Madiwani Cha Chama Cha Mapinduzi kuchagua diwani
atakayegombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze
kilichofanyika Chalinze ,mapema leo.#KaziInaendelea
Home »
» Mbunge wa Chalinze ameshiriki kikao cha Baraza la Madiwani Cha Chama Cha Mapinduzi kuchagua Diwani
0 comments:
Post a Comment