Home » » Wahariri wa vyombo vya habari vya kidini watembelea kituo cha afya cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU

Wahariri wa vyombo vya habari vya kidini watembelea kituo cha afya cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Wahariri wa vyombo vya habari za kidini wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ziara ya kimafunzo mkoani Pwani, ziara hiyo imeandaliwa  na TACAIDS
Mhariri wa Habari kutoka Radio Maria Bi. Judidh Francis akiongea jambo katika ziara ya wahariri wa vyombo vya habari vya kidini katika kituo cha afya cha utoaji huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze,ziara hiyo imeandaliwa  na TACAIDS
Mhariri wa Habari kutoka Radio Sauti ya Quran Bw. Sadiki Faki akiongea jambo katika ziara ya wahariri wa vyombo vya habari vya kidini katika kituo cha afya cha utoaji huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze,ziara hiyo imeandaliwa  na TACAIDS
Mratibu wa TACAIDS mkoani Pwani Bw. Badru Abdunuru akiwafafanulia jambo wahariri wa vyombo vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani katika Kituo cha utoaji wa  huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Mratibu wa TACAIDS mkoani Pwani Bw. Badru Abdunuru akiwafafanulia jambo wahariri wa vyombo vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani katika Kituo cha utoaji wa  huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Mratibu wa TACAIDS mkoani Pwani Bw. Badru Abdunuru aliyesimama kulia akiwafafanulia jambo wahariri wa vyombo vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani katika Kituo cha utoaji wa  huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Msimamizi wa kituo cha Maarifa kwa ajili ya kutoa huduma za VVU kwa madereva wa masafa marefu wa kwanza kushoto aliyekaa mbele Bi. Amina Chandima akiwafafanulia jambo wahariri wa vyombo vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani katika Kituo cha utoaji wa  huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Wahariri wa vyombo vya habari za kidini walipotembelea kituo cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU mkoani Pwani, Wilayani Kibaha
Mhariri wa Tumaini Media Bw. Martin Kuhanga akiongea jambo wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo vya habari vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika  katika Kituo cha utoaji wa  huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Msimamizi wa utoaji wa huduma za tiba na ushauri kwa watu wanaoishi na VVU kutoka Wilaya ya Kibaha Daktari Robert Mwakyusa akiongea jambo na wahariri wa vyombo vya habari za kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani.




0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Pwani Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa