Home » » WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA WATENGENEZA NYENZO ZA KUFANYIA KAZI,PAMOJA NA MAJUKU MENGINE HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA WATENGENEZA NYENZO ZA KUFANYIA KAZI,PAMOJA NA MAJUKU MENGINE HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Kundi namba tatu wakitoa maelezo jinsi ya kutengeneza Mbolea ya Mboji pamoja na Mipini
 Kundi la tatu wakiwa bize hapa kutengeneza Mifagio
 Hapa kundi la kwanza likiwa mbele ya wanakijiji wa Kijiji cha Kasanga wakiwaeleza wanakijiji hao kitu wanachokitengeneza ambacho ni kichanja cha kuanikia vyombo pamoja na vyakula, na shimo la Taka ambalo litasaidia kutengeza Mbolea.
 Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula kipindi Bora Kinachoruka katika Chanel ya ITV kuanzia saa Kumi na Mbili jioni na Kurudiwa Saa Tano na nusu Asubuhi hapa wakiwa bize kutafuta Nyenzo kwa ajili ya kutengeneza Kichanja
 Hapa ilikuwa ni Shangwe sana ambapo uongozi wa Kijiji kwa pamoja ulikuwa ukitangaza kundi namba mbili la washiriki wa shindano la mama shujaa wa chakula kuwa ni washindi
 Kundi namba mbili wakieleza wanakijiji kwa kina jinsi walivyotengeneza Mipini na Mifagio
 Kikundi cha Tatu nao wakiwa bize kutengeneza Mipini ya Majembe...
 Kundi namba tatu nao pamoja na jua kuwapiga lakini hapa wanaonekana wapo bize sana kwa ajili ya kutengeneza Mbolea aina ya Mboji ...
 Kundi namba moja wakimaliza kabisa kutengeneza Kichanja chao
 Hiki ni kikundi namba moja cha mama shujaa wa Chakula shindano ambalo linaendeshwa na Shirika la Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow ambapo kauli mbiu ni kuwa wekeza kwa wakulima wadogo inalipa wakiwa wamemaliza kutengeneza kichanja na sasa wanaboresha shimo la taka ili kuboresha utengenezaji wa Mboji.


Kumbuka kabisa kuwa Utamuu..... ndio unaanza tuu bado kuna mambo mengi sana utayaona kupitia hapa hapa endelea kufuatila bila kukosa...

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Pwani Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa