Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani,
wakati alipofika kwenye Kambi ya JKT Ruvu kwa ajili ya kupanda miti
ikiwa ni sehemu ya uzinduzi huo, ambapo jumla ya miti 8,000, imeandaliwa
kupandwa katika eneo hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu,
ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira Duniani. jumla ya miti
8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiumwagia maji mti alioupanda katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga
Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira
Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, akipanda mti katika eneo la Kambi ya
Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya
mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo
hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka Jiwe la msingi baada ya kupanda mti katika eneo la Kambi ya
Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya
mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo
hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi wa kambi ya JKT Ruvu
baada ya kupanda miti.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Vijana wa JKT walio katika
mpango maalum wa kampeni ya upandaji miti hiyo na kusimamia suala zima
la mazingira, baada ya kupanda miti.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi walio katika mpango
maalum wa kampeni ya upandaji miti hiyo, baada ya kupanda miti.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Bodi ya Wadhamini
ya Mfuko wa Hifadhi ya Milima ya Tao la Mashariki (EAMCEF)baada ya
kupanda miti.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya maafisa wa Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT
Ruvu, wakati akiondoka eneo hilo baada ya kupanda miti kama ishara ya
uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani, leo.
Vijana wa JKT wakitoa burudani wakati wa hafla hiyo. Picha na OMR

0 comments:
Post a Comment