Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.


Ajali
imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam.. gari la
kampuni ya dar express lililokuwa likielekea nairobi.. Abiria wengi
wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache ambao haijulikana na bado
haijafahamika kama kuna aliyekufa.
0 comments:
Post a Comment