Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Hili ndilo eneo ambalo lilisababisha foleni kubwa eneo la Visiga jioni ya leo
Muda mchache kabla ya Magari hayo kuanza kuzuiliwa
Moja ya Lori liliwa limepata Ajali eneo hilo ambapo wanafanya Maboresho ya Barabara hiyo
Foleni kubwa ya Magari iliyosababishwa na Maboresho ya Daraja hilo
Picha na Pwani Yetu Blog
0 comments:
Post a Comment