Home » » Ridhiwani aahidi kuboresha barabara

Ridhiwani aahidi kuboresha barabara

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Ridhiwani aahidi kuboresha barabaraMGOMBEA ubunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete, amesema endapo atachaguliwa kuliongoza jimbo hilo atahakikisha anaboresha miundonbinu ya barabara.
Ridhiwani alitoa kauli hiyo juzi wakati akihutubia wakazi wa Chalinze kwenye kampeni zake zinazoendelea jimboni humo.
Alisema anayafahamu matatizo ya wakazi wa jimbo hilo, hivyo anawaomba kumpa ridhaa ya kuwa mbunge ili ayatatue kwa wakati.
Chanzo ;tanzania daima 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Pwani Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa