Home » » BREAKING NUUZ MUDA HUU: MALORI YAGONGANA NA KUZIBA NJIA ENEO LA WAMI,MSAADA UNAHITAJIKA

BREAKING NUUZ MUDA HUU: MALORI YAGONGANA NA KUZIBA NJIA ENEO LA WAMI,MSAADA UNAHITAJIKA



 Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami
 Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga,Arusha Na Kilimanjarooooo




Ajali mbaya imetokea mda huu eneo la mto wami na kusababisha Foleni kubwa sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo,Dj sek blog imefanikiwa kupata picha kadhaaa za ajali hiyo,Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni kufeli breki kwa malori hayo yakiwa yanateremka kwenye mlima huo.Polisi wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DJ SEK BLOG


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Pwani Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa