Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wageni waaikwa na wahitimu wakati wa mahafali hayo jana huko Nyamisati Rufiji.
Viongozi mbalimbali wakicheza muziki wakati wa mahafali hayo
Dr. Ramadhan Dau Mwenyekiti wa bodi ya shule ya Wama Nakayama akizungumza katika mahafali hayo
Mama Salma Kikwete akikaribisha wageni mbalimbali katika mahafali hayo
Mkuu wa shule ya WAMA Nakayama Suma Mensa aakitoa historia ya shule hiyo
Mmoja
wa wasanii wa kundi la Mjomba Band linaloongozwa na msanii Mrisho Mpoto
akiigaiiza katika igizo maalum lililokuwa likitafsiri changamoto
zinazomkabili mtoto wa kike yatima na anayeishi kwenye mazingira magumu
katika suala zima la kupata elimu.
Mkuu wa Wilaya ya Kionondoni Ndugu Jordan Lugimbana pamoja na waalikwa wengine katikati akiwa katika hafla hiyo
Wahitimu wakiimba wimbo maalum wa kumshukuru Mwenyekiti wa WAMA mama Salma Kikwete
Nyoka alikuwa ni moja ya burudani katika mahafali hayo
Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP Regnald Mengi akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Mwantumu Mahiza kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Aisha Bilal
Baadhi ya majengo ya shule hiyo.
Mdau Seraphin kutoka Serena Hotel alihudhuria pia
Mama Salma Kikwete katikati akiimbiwa wimbo maalum na wahitimu
Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete akicheza wimbo maalum ulioimbwa na wanafuzni wahitimu katika mahafali hayo
Rais Jakaya Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete wakiongoza viongozi mbalimbali kucheza wimbo huo
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makundi mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa mahafli hayo jana

PICHA NA
KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-NYAMISATI RUFIJI
0 comments:
Post a Comment