Home » » Mwanafunzi wa Kidato cha IV Kibaha Sekondari akamatwa kwa kuhusishwa na wizi wa meno ya Tembo.

Mwanafunzi wa Kidato cha IV Kibaha Sekondari akamatwa kwa kuhusishwa na wizi wa meno ya Tembo.





 

Kamanda
wa Polisi kanda Maalum Dar es Salaam DCP Suleiman Kova akiwa
maeshikilia baadhi ya vipande vya meno ya Tembo vilivyokamatwa hivi
karibuni katika eneo la Kimara Wilaya ya Kinondoni.
Kamanda
wa Polisi kanda Maalum Dar es Salaam DCP Suleiman Kova akifafanua kuwa
Jeshi la polisi limeweka mikakati ya mpango kazi ikiwa ni pamoja na
kushirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama pamoja na kikosi
cha zimamoto ili kuhakikisha kuna udhibiti wa matukio ya uhalifu au
fujo.
Aidha
amesema jeshi hilo pia limefanikiwa kukamata bunduki mbili aina
tofauti, moja ikiwa ni Shotgun yenye namba AB 44736 na ya pili ni
Greener yenye namba 10883 pamoja na risasi 17.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Pwani Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa