Home » » JK NA MAMA SALMA KIKWETE WAKAMILISHA MSIMU WA MAVUNO KIJIJINI MSOGA, WASEMA UMEKUWA MSIMU MZURI.

JK NA MAMA SALMA KIKWETE WAKAMILISHA MSIMU WA MAVUNO KIJIJINI MSOGA, WASEMA UMEKUWA MSIMU MZURI.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.


 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakivuna mahindi shambani kwao kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani kukamilisha msimu wa mavuno ambao amesema umekuwa mzuri mwaka huu
 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea na kazi ya kuvuna
 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia mavuno mema

 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiendelea kuvuna mahindi shambani kwao kijijini Msoga
 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakifurahia mavuno mema ya  mahindi shambani kwao kijijini Msoga
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakifurahia mavuno mema ya  mahindi shambani kwao kijijini Msoga.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Pwani Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa