Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani SACP Jafari Ibrahimu kwamba
basi la kampuni ya Dar Express limeteketea kwa moto likiwa safarini
kutokea Dar es salaam kuelekea Arusha likiwa abiria wa kutosha kama
ilivyo abiria wanavyokuwa wamejaa kwenye mabasi.
Kamanda wa polisi mkoa wa Pwani anasema
'Ni
kweli basi la Dar Express leo saa saba mchana limeteketea kwa moto
katika kijiji cha Makocho kijiji hiki kiko katikati ya kijiji cha
Mandera na Mbwewe ndani ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani lilipata
hitilafu likaanza kuungua lenyewe, bahati nzuri abiria wote wamewahi
kushuka salama ila basi limeteketea lote, hawakuwahi kulizima na hakuna
aliejeruhiwa'
Chanzo vijimambo Blog
0 comments:
Post a Comment