Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa rsami na Mkuu wa Wilaya ya
Bagamoyo Ndugu Ahmed Kipozi mara baada ya kuwasili kwenye Shule ya
Sekondari ya Wasichana ya Mandera iliyoko wilayani Pagamoyo, juzi.
Mke
wa Rais na Mlezi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandera
akisalimiana na baadhi ya walimu wa Shule hiyo mara alipowasili shuleni
hapo kwa ziara ya siku moja.
Mke
wa Rais na Mlezi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandera
akisalimiana na baadhi ya walimu wa Shule hiyo mara alipowasili shuleni
hapo kwa ziara ya siku moja.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiongozana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya
Wasichana ya Mandera Ndugu Rose Ummy (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya
Bagamoyo Ndugu Ahmed Kipozi (kulia) na wageni wengine wakitembelea
maeneo mbalimbali ya shule hiyo.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatilia jaribio la somo la Fizikia
(Hooke’s Law: Inayosema ‘The force needed to extend or compress a spring
by some distance is proportional to that distance’) lililokuwa
likifanywa na mwanafunzi Mwajuma Mwanankuta wa Kidato cha 4 katika Shule
ya Sekondari ya wasichana ya Mandera

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ya saluti ya Girl Guides kutoka shule ya sekondari ya wasichana ya Mandera.
Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandera iliyoko
Wilayani Bagamoyo wakiimba wimbo wa shule kwa ajili ya kumkariisha Mlezi
wa shule hiyo Mama Salma Kikwete alipotembelea shule hiyo.

Mkuu
wa Shule ya Wasichana ya Mandera Ndugu Rose Ummy akimkabidhi risala
Mlezi wa Shule hiyo Mama Salma Kikwete alipotembelea shuleni hapo.
Mke
wa Rais na Mlezi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandera iliyoko
wilayani Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani Mama Salma Kikwete akizungumza na
wanafunzi wa shule hiyo mara baada ya kutembelea maeneo mbalimbali ya
shule.

wa Rais na Mlezi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandera Mama
Salma Kikwete akiw\ katika picha ya pamoja na walimu na wafanyakazi wa
shule hiyo na baadhi ya wageni waalikwa mara baada ya Mama Salma kuongea
na wanafunzi na wafanyakazi wa shule hiyo. PICHA NA JOHN LUKUWI.
0 comments:
Post a Comment