Home » » HALI TETE ENEO RUVU DARAJANI MUDA HUU MAJI YAZUIA MAGARI

HALI TETE ENEO RUVU DARAJANI MUDA HUU MAJI YAZUIA MAGARI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Msururu Mkubwa wa Magari barabara ya Chalinze Mlanzidi Eneo la Ruvu Darajani,Hali hii anatokana na Mvua Zinazozidi Kunyesha hali iliyopelekea Maji kujaa na Kukatiza Juu ya Barabara,Kwa usalama magari yote yamesimama kusubiri hali kutengemaa.
Maji yaliojaa pande zote za Barabara ya Morogoro chalinze Eneo la Ruvu darajani muda huu.Maji ni Mengi Mto haujulikano unapoanzia na kuishia maji yamejaa pande zote za barabara,Magari yamesimama na hakuna Gari linalovuka daraja la Ruvu kwa sasa.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Pwani Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa