Home » » ABIRIA 55 WANUSURIKA KIFO NI BAADA YA BASI LA HOOD KUTEKETEA KWA MOTO

ABIRIA 55 WANUSURIKA KIFO NI BAADA YA BASI LA HOOD KUTEKETEA KWA MOTO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Zaidi ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi hilo kushika moto na kuteketea kabisa katika kijiji cha Kilolele-Chalinze Mkoani Pwani.
Chanzo-Dj Sek Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Pwani Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa