Home » » Rais Jakaya Kikwete Akagua Ujenzi wa Nyumba Za Waalimu Katika Shule ya Sekondari ya Mboga,iliyopo Kata ya Msoga Wilayani Bagamoyo

Rais Jakaya Kikwete Akagua Ujenzi wa Nyumba Za Waalimu Katika Shule ya Sekondari ya Mboga,iliyopo Kata ya Msoga Wilayani Bagamoyo


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa nyumba za waalimu katika shule ya Sekondari ya Mboga, iliyopo kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwelekeza  jambo Diwani wa Kata ya Msoga Bwana Mohamed Mzimba wakati Rais alipotembelea shule ya Sekondari ya Mboga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mboga kata ya Msoga leo wakati Rais alipotembelea shule hiyo jana  kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za waalimu shuleni hapo.
Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Pwani Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa