Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimuhoji Afisa Ardhi
wa Wilaya ya Kibaha Majaliwa Jafari kuhusu Hati miliki ambazo zina muda
mrefu ofisini kwake bila kupewa wamiliki wa hati hizo. Afisa huyo
alijitetea kuwa ana miezi minne tangu aingie katika ofisi hiyo.
Picha na Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Ardhi
0 comments:
Post a Comment