Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akinyooshewa vidole gumba na wakazi wa Jimbo la Ukonga ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia kura ya ndiyo , wakati wa mkutano wa kampeni eneo la Moshi Bar, Ukonga Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Wakazi wa Mombasa, Ukonga, Dar es Salaam wakiuzuia msafara wa Dk Magufuli ulipokuwa ukitoka Kisarawe kwenda eneo Moshi Baa kuendelea na kampeni
Mmoja wa wakazi wa Mombasa, Ukonga akijitahidi kupiga Push Up mbele ya msafara wa Dk Magufuli
Wakazi wa Mombasa Ukonga Dar, wakifanya mazoezi ya Push Up mbele ya msafara wa Dk Magufuli
Dk Magufuli aiomba kura kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam leo.
Wafuasi wa CCM wakiongozwa na Agnes Ngonyani 9katikati) wakishangilia baada ya kufurahishwa na ahadi zilizokuwa zikitolewa na Dk Magufuli kwa wakazi wa Ukonga ikiwemo ujenzi wa Barabara ya Mombasa hadi Moshi Baa kwa kiwango cha Lami na Barabara ya njia sita kutoka Banana hadi Chamazi. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Ukonga kupitia CCM, Jerry Silaa wakati wa mkutano wa kampeni jimboni humo leo
Dk Magufuli akionesha kadi ya aliyekuwa Mkuu wa Red Brigade ya Chadema Ukonga ambaye aliirudisha na kuamua kuhamia CCM katika mkutano huo.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiagana na wakazi wa Jimbo la Ukonga baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni eneo la Moshi Bar, Ukonga Dar es Salaam

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli aksalimiana na abiria eneo la Mombasa, alipokuwa anatoka katika mkutano wa kampeni eneo la Moshi Bar, Ukonga Dar es Salaam
Wananchi wa Jimbo la Kisarawe, mkoani Pwani wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kisarawe leo.
Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Kisarawe, Seleman Javo wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kisarawe leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

0 comments:
Post a Comment